کتاب «سبک زندگی رضوی(به زبان سواحیلی)»
Mtindo wa Maisha(Namna ya Kuishi Kwa mtazamo wa Imam Ridha a.s)/ Mwandishi – Muhammad Baghir Pouramini Y Mtarjumi SalumBenderea.
Usambazaji wa matunda na mafanikio yenye fahari katika uga wa utamaduni wa Ridha (wa Imamu Ridha a.s.) ni miongoni mwa mambo yaliyo katika ajenda za Tamasha la Kimataifa la Imamu Ridha (a.s.), ambalo huwasilishwa kwa wapenzi wa Imamu huyu mtukufu.
Kitabu hiki kilichotafsiriwa ni miongoni mwa kazi hizo, na kimetokana na juhudi kubwa za Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt (a.s.), taasisi ambayo daima imekuwa mstari wa mbele katika kutoa huduma na kuendeleza utamaduni wa Ahlul Bayt (a.s.).
Inshaallah, tunatarajia kuwa kazi hii itapata ridhaa ya Mwenyezi Mungu Mtukufu na Imamu Ridha (a.s.).
سبک زندگی (منشور زندگی در منظر امام رضا علیهالسلام/زبان سواحیلی- مؤلف: محمدباقر پورامینی
ترویج و انتشار ثمرات و دستاوردهای افتخارآفرین در عرصه فرهنگ رضوی، از جمله برنامههای جشنواره بینالمللی امام رضا(ع) است که به دوستداران و ارادتمندان این امام بزرگوار ارائه میشود. کتاب حاضر که به ترجمه رسیده است، یکی از همین آثار است که حاصل تلاشهای گسترده مجمع جهانی اهلبیت(ع) میباشد.
